Home LOCAL RAIS DK.MWINYI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI WA...

RAIS DK.MWINYI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI WA BENKI YA AFRIKA

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Bank Of Africa ukiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Afrika Dr.Nyamajeje Calleb (kulia kwa Rais) akiwa na Ujumbe wake Ndg.Wasira Mushi na Samira  Yassine, walipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimia na Ujumbe wa Uongozi wa Benki ya Afrika ukiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki hiyo, Dr.Nyamajeje Calleb, walipofika Ikulu jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha..

(Picha na Ikulu)

Previous articleMAMA MGHWIRA-KULIKUWA NA UZEMBE KCMC,KIFO CHA MAMA WA HOYCE TEMU
Next articleRAIS DKT. MWINYI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI MDOGO WA JAMHURI YA WATU WA CHINA IKULU ZANZIBAR

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here