
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Kiongozi wa Ujumbe wa Wafadhili kutoka Chuo Kikuu cha Hauklend kutoka Nchini Norway Bw.Trond Mohn, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 15-6-2022.(Picha na Ikulu).