WHAT'S NEW
BENKI YA DUNIA YAIPONGEZA TANZANIA KWA KUSIMAMIA VIZURI UCHUMI WAKE
ACCESSORIES
FCS, VODACOM FOUNDATION WASAINI MAKUBALIANO KUELEKEA WIKI YA AZAKI
WAZIRI WA KILIMO ZANZIBAR KATIKA BANDA LA CHUO KIKUU MZUMBE NANENANE...
WINDOWS PHONE
KINANA AJIUZURU M/MWENYEKITI CCM, RAIS SAMIA ARIDHIA
LATEST ARTICLES
NHC INAVYOKWENDA KUGEUZA ENEO LA URAFIKI KISASA
Na mwandishi wetu UKIONA vyaelea ujue vimeundwa! Hii ndiyo methali inayoweza kuelezea hatua ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kununua eneo la Urafiki lenye ukubwa wa zaidi ya ekari 50 kwa lengo la kufanya uwekezaji mkubwa unaolenga kuboresha mandhari na maisha ya wananch. NHC imejipatia sifa nzuri miongoni mwa Watanzania kutokana na ubunifu wake, utekelezaji, na usimamizi wa miradi...
NHC INAVYOKWENDA KUGEUZA ENEO LA URAFIKI KISASA
Na mwandishi wetu UKIONA vyaelea ujue vimeundwa! Hii ndiyo methali inayoweza kuelezea hatua ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kununua eneo la Urafiki lenye ukubwa wa zaidi ya ekari 50 kwa lengo la kufanya uwekezaji mkubwa unaolenga kuboresha mandhari na maisha ya wananch. NHC imejipatia sifa nzuri miongoni mwa Watanzania kutokana na ubunifu wake, utekelezaji, na usimamizi wa miradi...
BANDARI YA DSM YAPOKEA MELI KUBWA YA MIZIGO
Meli kubwa ya mizigo ya MSC ADU -V yenye urefu wa mita 294.1 na uwezo wa kubeba makontena 4000 ikiwasili katika Bandari ya Dar es Salaam jana. Mkuu wa Kitengo cha Uratibu kutoka Kampuni ya DP WORLD, Bw. Emmanuel Kakuyu (kushoto) akizungumza na Meneja Mizigo Mchanganyiko wa Bandari ya Dar es Salaam chini ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini...
UN WOMEN’S YATOA MAPENDEKEZO YAKE YA MISWADA YA UCHAGUZI NA VYAMA VYA SIASA 2023 KWA MLENGO WA JINSIA
Mwezeshaji na Mtaalam Kutoka Chuo Kikuu Huria Tanzania, aliyeongoza kuandaa miswada mitatu ya uchaguzi na vyama vya siasa, 2023 katika mlengo wa Kijinsia. Dkt. Victoria Lihiru, akitoa mada juu ya uchambuzi na mapendekezo ya miswada hiyo kwa Wahariri wa Habari, katika Kikao kazi kilichoandaliwa na UN WOMEN'S chini ya Mradi wa 'Wanawake Wanaweza' mradi wa Uongozi na Haki za...
UN WOMEN YASISITIZA KUFANYIWA KAZI MAPENDEKEZO YA KONGAMANO LA AfCFTA LILILOFANYIKA JIJINI DAR
Mwakilishi Mkazi wa UN Women Tanzania Hodan Addou (kushoto) akizungumza alipokuwa akiongoza mkutano wa wanawake kutoka katika nchi mbalimbali Barani Afrika kujadili changamoto zinazowakabili wanawake na vijana katika Biashara na kupokea maoni ya wadau hao namna ya kufanyiakzi changamoto. Kikao hicho kilifanyika Septemba 14,2022 wakati wa kuhitimisha Kongamano la Afrika la Wanawake na Vijana katika Biashara chini ya Sekretarieti...
MWANAMUZIKI WA INJILI REHEMA SEMFUKWE ATOBOA SIRI WIMBO WA CHABZO
Na Mwandishi Wetu MWANAMUZIKI maarufu katika Muziki wa Injili nchini Rehema Simfukwe amevunja ukimya kwa mara ya kwanza kwa kuamua kutoa sababu za kutunga wimbo wa Chanzo ambao umekuwa ukipendwa na kuvuta hisia za watu wengi kutokana na mashairi yaliyoandikwa katika wimbo huo. Rehema Simfukwe tangu alipotoa wimbo huo miaka minne iliyopita hakuwahi kutoa sababu za kutunga na kuimba wimbo huo...
RAIS SAMIA AAGANA NA BALOZI WA JAPAN NA KUKUTANA NA VIONGOZI MBALIMBALI IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Balozi wa Japan hapa nchini anayemaliza muda wake Mhe. Yasushi Misawa, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Januari, 2025. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Bi....
KAMATI YA BUNGE NISHATI NA MADINI KUJIFUNZA UONGEZAJI THAMANI MADINI ZAMBIA
Zambia Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, wakiongozwa na Mbunge wa Geita Mjini anayemwakilisha Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Constantine Kanyasu wako nchini Zambia katika ziara ya mafunzo kuhusu Uongezaji Thamani Madini. Mhe. Kanyasu ameambatana na wajumbe wengine watatu wa Kamati hiyo akiwemo Mhe. Ndaisaba Ruhoro, Mhe. Aleksia Kamguna na Mhe. Janeth Mahawanga pamoja...
WAZIRI BASHUNGWA AZINDUA KAMPENI YA ‘PERFOM AND INFORM’
WAZIRI wa Mambo ya Ndani, Innocent Bashungwa, akizungumza katika Kikao kazi na Wahariri wa vyombo vya Habari kilichofanyika leo Januari 13, 2025 Jijini Dae es Salaam. DAR ES SALAAM. WAZIRI wa Mambo ya Ndani, Innocent Bashungwa amezindua kampeni ya ‘Perform and Inform’ (tekeleza na taarifu) ya wizara hiyo kwa lengo la kuongeza uwajibikaji na uwazi kwa wananchi. Akizungumza na wahariri wa vyombo...
MSIGWA: ELIMU NA MAWASILIANO KWA UMMA ISAIDIE WATANZANIA KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU KWA AMANI
Katika kipindi cha Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Serikali, Wasemaji wa Vyombo vya Usalama, Taasisi na Maafisa Habari wametakiwa kutumia nguvu yao ya Mawasiliano kuwafanya Watanzania washiriki na kuvuka kwenye Uchaguzi Mkuu kwa furaha kwa kutumia maarifa yao katika kuwaelimisha wananchi kuzingatia na kutii sheria bila shuruti wakati wakitekeleza haki yao Kikatiba ya kuchagua au kuchaguliwa kwa amani na utulivu. Hayo...
SHEREHE ZA MATI TANZANITE ROYAL PARTY ZATIKISA MJI WA BABATI
Na; Mwandishi Wetu ,Manyara Sherehe ya hadhi ya kifalme inayojulikana kama Mati Tanzanite Royal Party imefanyika Mjini Babati Mkoani Manyara huku mamia ya wahudhuriaji wakivalia mavazi ya kifahari ya falme mbali mbali za Kiafrika na Duniani ,sherehe hizo zimezua gumzo kutokana na aina ya mavazi,chakula na burudani zilizotolewa na wanamuziki wakubwa wakiongozwa na Msanii Rayvanny. Mkurugenzi wa Mati Super Brands Limited...