Home LOCAL KINANA AJIUZURU M/MWENYEKITI CCM, RAIS SAMIA ARIDHIA

KINANA AJIUZURU M/MWENYEKITI CCM, RAIS SAMIA ARIDHIA

 

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameridhia ombi la kujiuzuru nafasi ya Makamu Mwenyezi wa CCM ndugu Abdulrahman Kinana ambaye amemuandikia barua ya kuomba kujiuzuru.

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here