Home LOCAL DKT.TULIA ATETA NA MKUU WA MKOA WA MBEYA

DKT.TULIA ATETA NA MKUU WA MKOA WA MBEYA

Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Homera katika Ofisi za Mkuu wa Mkoa huyo zilizopo Jijini Mbeya leo tarehe 22 Februari, 2024.

Pamoja na mambo mengine, Viongozi hao wamejadili kuhusu namna bora ya kuboresha maendeleo ya Mkoa huo ikiwemo Jiji la Mbeya katika sekta mbalimbali.

Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akifurahi jambo Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Homera wakati walipokutana katika Ofisi za Mkuu wa Mkoa huyo zilizopo Jijini Mbeya leo tarehe 22 Februari, 2024.

PICHA NA OFISI YA BUNGE

Previous articleRAIS SAMIA AKUTANA NA RAIS MSTAAFU WA KENYA UHURU KENYATTA
Next articleM/RAIS AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA KUBORESHA HUDUMA YA MAJI TANGA KUPITIA HATI FUNGANI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here