Home LOCAL WAZIRI WA KILIMO ZANZIBAR KATIKA BANDA LA CHUO KIKUU MZUMBE NANENANE MBEYA

WAZIRI WA KILIMO ZANZIBAR KATIKA BANDA LA CHUO KIKUU MZUMBE NANENANE MBEYA

Waziri wa Kilimo Serikali ya Mapinduzi  Zanzibar Mhe. Shamata Khamis, akisaini kitabu cha wageni baada ya kutembelea banda la Chuo Kikuu  cha Mzumbe katika maonesho ya Kimataifa ya Kilimo Nanenane yanayofanyika kwenye viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya.

Prof. Henry Mollel, Rasi wa Ndaki ya Mbeya akitoa maelezo kwa Waziri wa Kilimo Serikali ya Mapinduzi  Zanzibar Mhe. Shamata Khamis, wakati alipotembelea banda la Chuo Kikuu  cha Mzumbe katika maonesho ya Kimataifa ya Kilimo Nanenane yanayofanyika kwenye viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya.

Waziri wa Kilimo Serikali ya Mapinduzi  Zanzibar Mhe. Shamata Khamis, akipokea zawadi kutoka kwa Prof. Henry Mollel, Rasi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe Ndaki ya Mbeya wakati alipotembelea banda la Chuo Kikuu  cha Mzumbe katika maonesho ya Kimataifa ya Kilimo Nanenane yanayofanyika kwenye viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya.

Previous articleYASEMAVYO MAGAZETI YA LEO JUMATATU AGOSTI 7-2023
Next articleMNKONDYA ATEMBELEA MASHAMBA YA VANILLA , “DAR ES SALAAM NI ENEO SALAMA KWA KILIMO CHA VANILLA”
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here