NANDY AZINDUA MSIMU WA PILI TAMASHA LA ‘NANDY FESTIVAL’ 2021
DAR ES SALAAM.DIVA wa muziki wa Bongo fleva nchini, Faustina Mfinanga, ‘Nandy’ amezindua msimu wa pili wa tamasha la Nandy Festival kwa mwaka 2021...
RAIS SAMIA KUTARAJIWA KUWA MGENI RASMI BARAZA LA IDDI MWAKA HUU.
Na: MWANDISHI WETU.Baraza la Waislam nchini Bakwata, limetangaza kuwa mgeni rasmi katika Baraza la Iddi mwaka huu, atakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
MEYA KUMBILAMOTO AWAPONGEZA JIJI KWA HATI SAFI
Meya wa Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam Omary Kumbilamoto akimkaribisha Mkurugenzi wa jiji hilo Jumanne Shauri katika futari iliyoandaliwa na Meya Jana,...
RC KUNENGE AFUTURISHA MAKUNDI MBALIMBALI YA WANANCHI DAR, MUFTI WA TANZANIA ATOA NENO.
DAR ES SALAAM.Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Abubakar Kunenge leo May 10 amefuturisha Makundi Mbalimbali ya Wananchi wakiwemo Walemavu wa Viungo,...
MAGAZETI YA LEO J.NNE MEI 11-2021
Karibu msomaji wetu kwenye meza ya Magazeti ya leo uweze kujisomea habari kemkem za ndani na Nje ya Nchi yetu, Karibu sana.
WATU WENYE MATATIZO YA UGUMBA WAIOMBA JAMII ISIWATENGE.
Picha ya Maktaba.Na: Mwandishi Wetu, Mtimbira.HOTUBA iliyosomwa na jamii ya watu wenye matatizo ya ugumba katika Kata ya Mtimbira wilayani Malinyi,Mkoa wa Morogoro imemtoa ...