KAMATI YA SERA YA FEDHA BOT YARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA SERA HIYO KWA KIPINDI...
Kamati ya Sera ya Fedha ya Benki Kuu ya Tanzania imefanya kikao chake cha 216 tarehe 13 Septemba 2021 na kutathmini utekelezaji...
BILIONI 165 ZASAINIWA UJENZI WA KIWANJA CHA NDEGE CHA MSALATO
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS), Mhandisi Rogatus Mativila na Muwakilishi wa Kampuni ya Sinohydro Coorporation ya China, Bw. Shi Yong, wakionesha...
MHE. RAIS SAMIA, AZINDUA MKAKATI WA ELIMU YA UHAMASISHAJI WA SENSA YA WATU NA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akibonyeza kitufe kuzindua rasmi Mpango wa Uelimishaji na Uhamasishaji wa Sensa ya Watu...
KEVELA AMPONGEZA RAIS SAMIA KWA KULETA UWIANO WA KIJINSIA KATIKA UTEUZI WA VIONGOZI
DAR ES SALAAM.MWENYEKITI wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Mkoa wa Njombe Scolastika Kevela amempongeza Rais Samia Suluhu...
DC MSANDO WAMACHINGA WATAPA MAENEO BILA RUSHWA LEO
NA: HERI SHAABANMKUU wa Wilaya ya Morogoro Albert Msando amesema Wafanyabiashara Wamachinga wa Manispaa ya Morogoro watagaiwa maeneo yao ya biashara bila kutoa rushwa.Mkuu...
KALABA KUIONGOZA TP MAZEMBE SIMBA DAY
Na: Stella Kessy, DAR ES SALAAM.KIUNGO wa timu ya Taifa Zambia Rainford Kalaba atakuwa sehem ya wachezaji 23 wa TP Mazembe wanaotarajia kuja September...