Home LOCAL MHE. RAIS SAMIA, AZINDUA MKAKATI WA ELIMU YA UHAMASISHAJI WA SENSA YA...

MHE. RAIS SAMIA, AZINDUA MKAKATI WA ELIMU YA UHAMASISHAJI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akibonyeza kitufe kuzindua rasmi Mpango wa Uelimishaji na Uhamasishaji wa Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, leo Septemba 14,2021 katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akilihutubia Taifa katika Hafla ya uzinduzi rasmi wa Mpango wa Uelimishaji na Uhamasishaji wa Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, leo Septemba 14,2021 katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.
 

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here