RAIS MWINYI AMTEUA DKT.MAHMOUD ALAWI KUWA MKURUGENZI TAASISI YA KARUME YA...
ZANZIBARRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi amemteuwa Dkt. Mahmoud Abdulwahab Alawi kuwa Mkurugenzi wa Taasisi ya ...
KUTOKA MEZA YA MAGAZETI ASUBUHI YA LEO IJUMAA JUNI 25-2021.
Karibu msomaji wetu kwenye meza ya Magazeti ya leo uweze kujisomea habari kemkem za ndani na Nje ya Nchi yetu, Karibu sana.
RC ATAKA MALEZI NA MAKUZI YA WATOTO KUWA YA WAZAZI WOTE...
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt. Batilda Buriani akizungumza na wadau jana wakati wa dhifa yakukabidhi Mradi wa malezi kwa makuziPicha na Tiganya VincentNA:TIGANYA...
BRELA YAWAPIGA MSASA WANAWAKE WAJASIRIAMALI
Afisa Usajili kutoka Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), Bw. Lumambo Shiwala akitoa elimu ya Usajili wa Majina ya Biashara na Makampuni...
WANAWAKE WATAKIWA KUWA MAWAKILI WA MAADILI WAKUMBUSHWA KUZINGATIA MAJUKUMU YA FAMILIA...
Na: Maiko Luoga, TANGA. Wanawake Mkoani Tanga wametakiwa kuwa mawakili wema wa kuelimisha jamii hasa Vijana wa kike na wakiume ambao maranyingi wanaishi na kufuata...