Home LOCAL RAIS MWINYI AMTEUA DKT.MAHMOUD ALAWI KUWA MKURUGENZI TAASISI YA KARUME YA SAYANSI...

RAIS MWINYI AMTEUA DKT.MAHMOUD ALAWI KUWA MKURUGENZI TAASISI YA KARUME YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA

 

ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi amemteuwa Dkt. Mahmoud Abdulwahab Alawi kuwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Karume ya Sayansi na Teknolojia.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena A. Said amesema uteuzi huo unaanzia leo tarehe 25 Juni, 2021

IMETOLEWA NA IDARA YA HABRI MAELEZO

Previous articleWITO WA WADAU KUTOA MAONI KUHUSU MUSWADA WA SHERIA YA MAREKEBISHO YA SHERIA MBALIMBALI NA.3 WA MWAKA 2021
Next articleTAASISI ZA SANAA ZITUMIKE KUENDELEZA SANAA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here