UMMY MWALIMU AZINDUA LIGI YA WILAYA TANGA
Na: Mwandishi Wetu, Tanga Mjini
Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ummy Ally Mwalimu amezindua rasmi Ligi...
SIMBA YAIBUKA USHINDI WA MABAO 2-1 DHIDI YA CS SFAXIEN,MWANASHERIA MKUU...
Klabu ya Simba imeendelea kung’ara katika mashindano ya Kimataifa baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya CS Sfaxien ya Tunisia katika...
MHANDISI JUMBE APELEKA MASHABIKI WA STAND UNITED GEITA, ZAWADI NONO WAKISHINDA
Mratibu wa safari ya mashabiki wa Stand United FC kutoka Shinyanga kwenda Geita ,Jackline Isaro akizungumza na waandishi wa habari
Na Kadama Malunde - Malunde...
GAVANA BWANKU AENDELEA KUGAWA MIPIRA KWA TIMU MBALIMBALI NDANI YA TARAFA...
Afisa Tarafa wa Tarafa ya Katerero iliyopo Bukoba mkoani Kagera Ndugu Bwanku M Bwanku ameendelea kugawa mipira kwa timu mbalimbali za Kata ndani...
YANGA YAICHAPA TANZANIA PRISONS KWA BAO 4 – 0.
YANGA leo imeendelea wimbi la ushindi baada ya kuifumua Tanzania Prisons kwa mabao 4-0 katika mechi ya Ligi Kuu Bara, huku Prince Dube akitupia...
SIMBA WALIPE UHARIBIFU ULIOTOKEA UWANJA WA MKAPA
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imesikitishwa na vitendo vya mashabiki kung'oa na kuharibu viti vya kukalia watazamaji katika Uwanja wa Benjamin Mkapa,...