Home SPORTS YANGA SC YAPATA UDHAMINI WA BIL.1.5, YAZINDUA JEZI MPYA KUELEKEA SHIRIKISHO 

YANGA SC YAPATA UDHAMINI WA BIL.1.5, YAZINDUA JEZI MPYA KUELEKEA SHIRIKISHO 

KLABU ya Yanga imeingia mkataba na Kampuni ya Haier wenye thamani ya shilingi bilioni 1.5 kama mdhamini Mkuu wa  Kombe la Shirikisho Barani Afrika,

Yanga Sc itakuwa inacheza kwenye michuano hiyo wakiwa wamevalia jezi mpya ambazo  wamezindua leo Januari 30,2023 zikiwa na mdhamini wao huyo mpya.

Previous articleDIWANI MARIAM LULIDA WAFANYA ZIARA SGR MIAKA 46 YA CCM
Next articleYASEMAVYO MAGAZETI YA LEO JUMANNE JANUARI 31-2023
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here