KALABA KUIONGOZA TP MAZEMBE SIMBA DAY
Na: Stella Kessy, DAR ES SALAAM.KIUNGO wa timu ya Taifa Zambia Rainford Kalaba atakuwa sehem ya wachezaji 23 wa TP Mazembe wanaotarajia kuja September...
YANGA YAAHIDI KUPINDUA MEZA NIGERIA
Na: Stella Kessy UONGOZI wa Yanga umesema kuwa Kwa sasa kikosi kipo tayari Kwa mchezo wa marudio dhidi ya Rivers United unaoatajiwa kuchezwa Nigeria, Septemba...
SIMBA KUENELEA KUWAWEKA FITI WACHEZAJI WAKE KWA MECHI ZA KIRAFIKI
Mwandishi wetuUONGOZI wa Simba umesema kuwa kucheza mechi za kirafiki ni kupata utimamu wa mwili pamoja na kujua maendeleo ya wachezaji wake.Kikosi hicho kinachonolewa...
SAFARI YA MWISHO YA ZACHARIA HANS POPPE
Jeneza lililobeba mwili wa Zachaaria Hans Poppe likiwa mbele ya waombolezaji (hawamo pichani) kwaajili ya kutoa heshma zao za mwisho. Ofisa Mtendaji Mkuu wa...
YANGA YAPOTEZA NYUMBANI
Stella Kessy, DAR ES SALAAM. KIKOSI cha Yanga leo wamepoteza mchezo wao wa kwanza dhidi ya River United bao 1-0 katika...
YANGA YAAHIDI USHINDI DHIDI YA RIVERS UTD
Na: wandishi wetu, Dar es Salaam.UONGOZI wa Yanga umesema kikosi kipo vizuri na wachezaji wamejipanga kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika...