HALMASHAURI YA MALINYI KUWAKAMATA WAVAMIZI BONDE LA MAJI LA MWALIMU NYERERE.
Na: Mwandishi Wetu Malinyi.HAlMASHAURI ya Wilaya ya Malinyi Mkoani Morogoro imesema, imeanza harakati za kuwakamata waliovamia hifadhi ya Bonde la Maji la Mwalimu Nyerere...
MWANA DIPLOMASIA YA SHAHADA YA JUU JULIANA LUBUVA AMPONGEZA RAIS SAMIA.
Mwanadiplomasia ya Shahada ya Juu Juliana Lubuva ambaye pia Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Wazee Kata ya Kijichi .aliyekoshwa na Hatua ya Rais...
IGP SIRRO AKUTANA NA IGP WA NCHI YA RWANDA
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro (kulia) akisalimiana na mgeni wake ambaye ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini ...
RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa ...
TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KWA KADA ZA AFYA NA UALIMU...
Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR -TAMISEMI) imepata kibali cha ajira za Watumishi wa Kada mbalimbali za Afya 2,726...
FIDIA UWANJA WA NDEGE MSALATO NA BARABARA YA MZUNGUKO KULIPWA HIVI...
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi, Dkt. Leonard Chamuriho, akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, mara baada...