LOCAL
Home LOCAL
MAWAKILI WA SERIKALI WAKUMBUSHWA MAJUKUMU YAO KATIKA KUTOA USHAURI WA KISHERIA
Mawakili wa Serikali nchini wamekumbushwa juu ya majukumu yao wakati wa kutoa ushauri wa kisheria kwa Serikali, Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Samweli...
WAUGUZI, WAKUNGA ENDELENI KUBEBA DHAMANA KAMA SERIKALI ILIVYOWEKEZA
Na WAF - Dodoma
Wauguzi, Wakunga na Watoa huduma za afya, wameagizwa kuendelea kubeba dhamana kubwa katika kuwapatia huduma bora Watanzania kama ambavyo Serikali ya...
RAIS SAMIA ABORESHA HUDUMA YA MAJI MATUMBULU.
Na. Emanuel Charles, MATUMBULU
DIWANI wa Kata ya Matumbulu, Emmanuel Chibago ameipongeza serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa...
DC AMPONGEZA DED MALINYI BARAZA LA ARDHI
Na Mwandishi Wetu
MKUU wa Wilaya ya Malinyi mkoani Morogoro, Sebastian Waryba amesema, uanzishwaji wa Baraza la Ardhi na Nyumba ni sehemu ya utekelezwaji wa...
MIAKA MINNE YA MAFANIKIO YA RAIS SAMIA
Ziara ya Tanga na uwekezaji wa Trilioni 3.1
Na: Dk. Reubeni Lumbagala
IMETIMIA miaka minne tangu Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Jemedari wa maendeleo,...
MWANASHERIA MKUU: “KITU CHA KWANZA KWA MWANASHERIA NI KUFANYA MAMBO BORA...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Hamza S. Johari akizungumza katika ufunguzi wa semina ya mawakili wa serikali inayofanyika mkoani Arusha.
Mwandishi Mkuu wa Sheria...