VIONGOZI LUDEWA WATAKIWA KUTHAMINI NGUVU KAZI ZA WANANCHI
Na: Damian Kunambi, Njombe.Viongozi wa kata na vijiji wilayani Ludewa mkoani Njombe wametakiwa kuthamini michango inayotolewa na wananchi katika shughuli mbalimbali za...
LHRC YALAANI TUKIO LA KUCHOMWA MOTO MTOTO WA KIKE WA MIAKA...
DAR ES SALAAM.Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimelaani tukio la kuchoma moto nyumba ambayo ndani yake kulikuwa na mtoto wa kike...
MEYA KUMBIMOTO NA DIWANI SULTAN WAWEKEZA SEKTA ELIMU
Meya wa Halmashauri ya Jiii la Dar es Salaam Omary Kumbilamoto akitoka kukagua eneo la ujenzi wa shule ya Msingi Olimpio Leo Juni 21/2021 ...
RAIS DKT. MWINYI AZUNGUMZA NA MKURUGENZI MKUU WA BOHARI YA DAWA...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa...
BALOZI MULAMULA AKUTANA NA MWAKILISHI MKAZI WA UNDP jijini Dodoma.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula akiwa na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo...