Home LOCAL RAIS DKT. MWINYI AZUNGUMZA NA MKURUGENZI MKUU WA BOHARI YA DAWA (MSD...

RAIS DKT. MWINYI AZUNGUMZA NA MKURUGENZI MKUU WA BOHARI YA DAWA (MSD ) IKULU ZANZIBAR.

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa Tanzania Mej.General Saali Mhidze alipofika Ikulu kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa Tanzania Mej. General Saali Mhidze, alipofika Ikulu kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

Previous articleAZAM FC YALAZIMISHWA SARE YA 0:0 NA NAMUNGO FC RUANGWA.
Next articleRAIS MHE. SAMIA SULUHU AZUNGUMZA KWA NJIA YA SIMU NA RAIS WA CHINA XI JINPING OFISINI KWAKE IKULU CHAMWINO DODOMA LEO JUNI 21, 2021.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here