WATAALEM SEKTA YA MANUNUZI WAASHWA KUWA WAADILIFU.
Naibu Karibu Mkuu wizara ya fedha na mipango Khatib Kazungu akifungua kongamano la 8 la PPRA kwa niaba ya waziri wa fedha na mipango...
WATANZANIA MSINUNUE BIDHAA BILA KUHAKIKI ALAMA YA UBORA YA TBS: DKT....
MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Dkt Yusuph Ngenya akizungumza na waandishi wa habariNA: OSCAR ASSENGA, TANGA.MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Viwango...
TANZANIA NA KENYA ZAKUBALIANA KUONDOA VIKWAZO 30 VYA BIASHARA VISIVYO VYA...
Waziri wa Viwanda na Biashara nchini Tanzania Prof. Kitila Mkumbo na Waziri wa Viwanda, Biashara na Maendeleo ya Wajasiliamali nchini Kenya, Mhe. Betty...
ACHENI KUNG’ANG’ANIA KUFANYA BIASHARA MOJA: ANGELINA NGALULA.
Mwenyekiti wa TPSF Angelina Ngalula akizungumza wakati wa mkutano wa mwezi ulioandaliwa na TWCC Jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti wa TWCC Taifa Mercy Silla...
ELIMU NA HAMASA ITOLEWE KWA WAKULIMA NA WAFUGAJI KUHUSIANA NA BIMA.
Kaimu katibu tawala mkoa wa Arusha Agney Chitukuro akifungua maonesho na kampeni ya bima kwa wakulima na wafugaji.Mmoja wa wakulima ambaye ameshanufaika na bima...
AFIIA WAADHIMIA KUFANYA KAZI KWA KUTUMIA VIWANGO VYA KIMATAIFA KATIKA KUFANYA...
mwe nyekiti wa Taasisi ya wakaguzi wa ndani wa bara la Afrika{AFIIA} Emmanuel Johanes akifunga mkutano wao wa saba uliofanyika jijini Arusha.NA:NAMNYAK KIVUYO, ARUSHA.Taasisi...