Home BUSINESS WANANCHI MBALIMBALI WAENDELEA KUPATA ELIMU YA HUDUMA ZA KIFEDHA KWENYE BANDA LA...

WANANCHI MBALIMBALI WAENDELEA KUPATA ELIMU YA HUDUMA ZA KIFEDHA KWENYE BANDA LA BoT

Bi Joyce Shala Afisa Mwandamizi Rasirimali Watu Benki Kuu ya Tanzania akitoa maelezo kwa wananchi wakati walipotembelea katika banda hilo kuhusu bodi ya bima ya amana  kwenye  maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam kwenye viwanja vya Julius Nyerere maarufu Sabasaba barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam leo Julai 06, 2021.
Meneja Msaidizi Huduma za Kifedha Benki Kuu ya Tanzania BoT Bw. Nixson Kyando akitoa elimu jinsi fedha mbovu zinavyotolewa kwenye mzunguko na kuharibiwa kwenye  maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam kwenye viwanja vya Julius Nyerere maarufu Sabasaba barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam leo Julai 06, 2021.
Bw. Ephraim Madembwe Mchambuzi Mwandamizi Mifumo ya Fedha Benki Kuu ya Tanzania BoT akiwapa elimu wananchi waliotembelea banda la benki hiyo kuhusu hati fungani kwenye  maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam kwenye viwanja vya Julius Nyerere maarufu Sabasaba barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam leo Julai 06, 2021.


Picha mbalimbali zikionesha wananchi waliotembelea katika banda hilo ili kupata elimu ya huduma mbalimbali zinazotolewa na Benki Kuu ya Tanzania BoT kwenye  maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam kwenye viwanja vya Julius Nyerere maarufu Sabasaba barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam leo Julai 06, 2021.

 


Previous articleBALOZI MULAMULA AAPA KUWA MBUNGE EALA
Next articleMHE. RAIS SAMIA AZUNGUMZA KWA SIMU NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA MAREKANI

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here