RC ROSEMARY AWATANGAZIA FURSA WAFANYABIASHARA KUWEKEZA DODOMA
Na Mwandishi wetu
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule ameendelea Kuwakaribisha Wafanyabiashara na Wawekezaji, kuchangamkia fursa Jijini Dodoma kwa kile alichokisema kuwa Mkoa...
WIZARA YA FEDHA KUSHIRIKIANA NA CHUO KIKUU MZUMBE KUIMARISHA USIMAMIZI WA...
Kaimu Naibu Katibu Mkuu Huduma za Hazina, Wizara ya Fedha, Bw. Lusius Mwenda, akifungua mafunzo ya usimamizi wa mali za umma, kwa wanafunzi wa...
MKURUGENZI MKU REA AWATAKA WATUMISHI KUFANYA KAZI KWA BIDII, UADILIFU NA...
* Awasisitiza, kuheshimiana, kupendana na kutimiza wajibu wao
Dodoma
Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan Saidy amewataka watumishi kufanya kazi kwa...
DKT. MWAMBA ATEMBELEA JENGO JIPYA LA OFISI ZA WIZARA YA FEDHA
Na. Saidina Msangi, WF, Dodoma.Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-Maamry Mwamba, ametembelea Jengo jipya la Ofisi za Wizara ya Fedha, lililopo Mji...
BENKI YA ABSA YAIPONGEZA BLACK SWAN KWA USHINDI WA BARA AFRIKA,...
Benki ya Absa Tanzania imeipongeza Black Swan kwa kuibuka mshindi wa jumla wa Absa–MEST Africa Challenge 2025, shindano la ubunifu linalojumuisha nchi mbalimbali barani...
WCF YAPONGEZWA KWA UTOAJI HUDUMA BORA KWA WANANCHI
Na; OWM (KAM) - DODOMA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano Mhe. Deus Sangu ameupongeza Mfuko wa Fidia kwa...










