RAIS SAMIA AYATAKA MASHIRIKA YA UMMA KUENDELEZA UWEKEZAJI KWENYE TAASISI ZAO
Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa Mashirika na Taasisi za Umma kuhakikisha yanawajibika...
BUNGE LAPITISHA MUSWADA WA SHERIA YA NHC
DODOMA
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Shirika la Nyumba la Taifa wa mwaka 2025.
Muswada...
BENKI KUU: WATALII KURUHUSIWA KULIPA KWA FEDHA ZA KIGENI
ARUSHA
Benki Kuu ya Tanzania imetoa ufafanuzi kuhusu Kanuni za Matumizi ya Fedha za Kigeni za Mwaka 2025, ikieleza kuwa malipo ya bidhaa na...
ORYX GAS YATOA ELIMU YA MAZINGIRA NA NISHATI SAFI KWA WANAFUNZI...
Na Mwandishi Wetu
KATIKA Kuadhimisha Siku ya Mazingira duniani, Kampuni ya Oryx Gas imetoa elimu ya usafi wa mazingira pamoja na matumizi bora ya nishati...
MNDOLWA AMTAKA MKANDARASI KUZINGATIA VIWANGO MRADI WA KASOLI SHINYANGA
Na:MWANDISHI WETU.
MKURUGENZI Mkuu Tume ya Taifa ya Umwagiliaji Raymond Mndolwa, amefanya ziara ya kushtukiza na kukagua mradi wa Umwagiliaji Mkoani Simiyu ukiwemo mradi wa...
MCL YAKWAA KISIKI KESI YA MCHECHU, MAHAKAMA YA RUFANI YABARIKI ALIPWE...
Dar es Salaam
Mahakama ya Rufani leo tarehe 4 June 2025, imetupilia mbali maombi ya rufani namba 658 ya 2023 yaliyofunguliwa na kampuni ya Mwananchi...










