Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Miliki Ubunifu Kanda ya Afrika (ARIPO) Bw. Bemanya Twebaze kutoka Harare Zimbabwe, akisalimiana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), Bw. Godfrey Nyaisa mara alipowasili katika ofisi za BRELA mapema leo tarehe 01 Novemba, 2022 jijini Dar es Salaam.