Home BUSINESS MTENDAJI MKUU BRELA ATETA NA MKURUGENZI WA MILKI BUNIFU AFRIKA (ARIPO)...

MTENDAJI MKUU BRELA ATETA NA MKURUGENZI WA MILKI BUNIFU AFRIKA (ARIPO) JIJINI DAR

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Miliki Ubunifu Kanda ya Afrika (ARIPO) Bw. Bemanya Twebaze  kutoka Harare Zimbabwe, akisalimiana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), Bw. Godfrey Nyaisa mara alipowasili katika ofisi za BRELA mapema leo tarehe 01 Novemba, 2022 jijini Dar es Salaam.

Previous articleRAIS MHE. SAMIA AFUNGUA KONGAMANO LA KITAIFA KUHUSU NISHATI SAFI YA KUPIKIA KATIKA UKUMBI WA JNICC DAR ES SALAAM 
Next articleUJUMBE WA ARIPO WAKUTANA NA WADAU
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here