Home LOCAL RAIS MHE. SAMIA AFUNGUA KONGAMANO LA KITAIFA KUHUSU NISHATI SAFI YA KUPIKIA...

RAIS MHE. SAMIA AFUNGUA KONGAMANO LA KITAIFA KUHUSU NISHATI SAFI YA KUPIKIA KATIKA UKUMBI WA JNICC DAR ES SALAAM 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi pamoja na Wananchi waliohudhuria kwenye Kongamano la Kitaifa kuhusu Nishati Safi ya Kupikia katika ukumbi wa Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Novemba, 2022.

Viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi wakiwa kwenye Kongamano la Kitaifa kuhusu Nishati Safi ya Kupikia lililofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar Es Salaam tarehe 01 Novemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasikiliza wadau mbalimbali kwenye mabanda ya maonesho kuhusu matumizi ya Nishati safi ya kupikia kabla ya kufungua Kongamano la Kitaifa kuhusu Nishati hiyo lililofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Novemba, 2022.

Previous articleSERIKALI KUWAJENGEA UWEZO WATAALAMU WA NUSU KAPUTI – DKT. MOLLEL.
Next articleMTENDAJI MKUU BRELA ATETA NA MKURUGENZI WA MILKI BUNIFU AFRIKA (ARIPO) JIJINI DAR
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here