Mkurugenzi wa Kampuni ya HOPECA inayotengeneza unga lishe unaotokana na mbegu mchanganyiko Daniel Manimba akionesha bidhaa ya unga lishe wa HOPECA ambayo imekuwa mkombozi wa Afya za watu kwa kuongeza Virutubisho mwilini.
Kampuni ya HOPECA inashiriki Katika Maonesho ya tano ya Teknolojia ya Madini yanayofanyika katika viwanja vya EPZA Bombambili Mkoani Geita na kupata fursa ya kuitangaza bidhaa hiyo.
Unga huu wa HOPECA umetengenezwa kwa mchanganyiko wa aina 13 za mbegu mbalimbali.
Baadhi tu ya mbegu hizo ni pamoja na mbegu za mlonzi, mtini na zabibu nyekundu.
SOMA HAPA KIPEPERUSHI MAALUM KUONA FAIDA ZA UNGA HUU NA JINSI YA KUUPATA MAHALI POPOTE HAPA TANZANIA.
Picha za matukio katika Banda la HOPECA kwenye Maonesho ya tano ya Teknolojia ya Madini Geita