Home BUSINESS HOPECA YATANGAZA BIDHAA YAKE YA UNGA LISHE MAONESHO YA MADINI GEITA

HOPECA YATANGAZA BIDHAA YAKE YA UNGA LISHE MAONESHO YA MADINI GEITA

Mkurugenzi wa Kampuni ya HOPECA inayotengeneza unga lishe unaotokana na mbegu mchanganyiko Daniel Manimba akionesha bidhaa ya unga lishe wa HOPECA ambayo imekuwa mkombozi wa Afya za watu kwa kuongeza Virutubisho mwilini.

Kampuni ya HOPECA inashiriki Katika Maonesho ya tano ya Teknolojia ya Madini yanayofanyika katika viwanja vya EPZA Bombambili Mkoani Geita na kupata fursa ya kuitangaza bidhaa hiyo.

Unga huu wa HOPECA umetengenezwa kwa mchanganyiko wa aina 13 za mbegu mbalimbali.

Baadhi tu ya mbegu hizo ni pamoja na  mbegu za mlonzi, mtini na zabibu nyekundu.

SOMA HAPA KIPEPERUSHI MAALUM KUONA FAIDA ZA UNGA HUU NA JINSI YA KUUPATA MAHALI POPOTE HAPA TANZANIA.

Picha za matukio katika Banda la HOPECA kwenye Maonesho ya tano ya Teknolojia ya Madini Geita

Previous articleCHAMA CHA MAPINDUZI CCM MADALE CHAFANIKISHA MSAADA WA VISIMA VYA MAJI KWA AJILI YA WANANCHI
Next articleMKURUGENZI WA STAMICO ATEMBELEA BANDA LA TUME YA MADINI KWENYE MAONESHO YA MADINI GEITA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here