Home LOCAL MHE. SAMIA AFIKA MOROGORO NA SGR

MHE. SAMIA AFIKA MOROGORO NA SGR

http://MHE. SAMIA AFIKA MOROGORO NA SGR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Stesheni ya Jakaya Kikwete Mkoani Morogoro ambapo alisafiri kwa Treni ya SGR kutokea Jijini Dar es Salaam tarehe 23 Novemba, 2024.

Previous articleCHATO MSIFANYE MAKOSA KUCHAGUA VYAMA VINGINE – DKT. BITEKO
Next articleHAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAPILI TAREHE 24, NOVEMBER ,2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here