Home BUSINESS WAZIRI DKT.KIJAJI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MKURUGENZI WA KAMPUNI YA CRYOGAS EQUIPMENT...

WAZIRI DKT.KIJAJI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MKURUGENZI WA KAMPUNI YA CRYOGAS EQUIPMENT JIJINI DAR

Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) amekutana na kufanya mazungumzo kuhusu Fursa za uwekezaji zilizopo Tanzania na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Kampuni ya Cryogas Equipment Private Limited Bw. Nayan Pandya kutoka India katika Ofisi ndogo zilizopo Dar es salaam Novemba 30, 2022. Waziri Kijaji amemhakikishia Mwekezaji huyo mwenye nia ya kuwekeza katika sekta ya nishati hususan gesi asilia kuwa Serikali iko tayari kupokea uwekezaji huo.

Previous articleMHE.MASANJA: MAENDELEO SEKTA YA UTALII YAENDANE NA HUDUMA BORA
Next articleBRELA YAPATA TUZO YA TPSF
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here