Home LOCAL WANAFUNZI WA SHULE ZA MSALALA WAPATIWA ELIMU YA KUJITAMBUA NA KUPINGA VITENDO...

WANAFUNZI WA SHULE ZA MSALALA WAPATIWA ELIMU YA KUJITAMBUA NA KUPINGA VITENDO VYA UKATILI WA KIJINSIA KUPITIA PROGRAM YA BARRICK BULYANHULU

Katika kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia mwaka huu, Barrick iliendesha program mbalimbali za kutoa elimu mashuleni dhidi ya vitendo hivyo ambapo mgodi wa Bulyanhulu kwa kushirikiana na wadau mbalimbali umewezesha elimu hiyo kufikia shule za msingi na sekondari zilizopo katika vitongoji vinavyozunguka mgodi huo.
Wanafunzi wa shule za Bugarama,Buyage,Ibanza na Igwamanoni wamefikiwa na elimu ya kujitambua na kupinga vitendo vya Ukatili wa Kijinsia
Previous articleZAIDI YA WAJASIRIAMALI 300 WASHIRIKI MAONESHO YA JUAKALI UGANDA
Next articleCHUO KIKUU CHA UMOJA WA AFRIKA (UAUT) CHAZINDUA JENGO JIPYA LA IBADA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here