Home BUSINESS PROF. KIKULA AUPONGEZA MGODI WA BUCKREEF KUONGEZA UZALISHAJI

PROF. KIKULA AUPONGEZA MGODI WA BUCKREEF KUONGEZA UZALISHAJI

Mwenyekiti wa Bodi ya Tume ya Madini Prof. Idriss Kikula (wa tatu kulia) akisikiliza maelezo kutokaa kwa Mjiolojia wa Mgodi wa BUCKREEF Jamal Makishe, (kushoto) wakati mgeni huyo alipotembelea banda la Kampuni hiyo leo Oktoba 7,2022 katika Maonesho ya tano ya Teknolojia ya Madini Mkoani Geita. (wa kwanza kulia) ni, Kaimu Afisa Madini Mkazi Mkoa wa Geita Laurent Bujashi, na (katikati) ni, Kamishna wa Madini kutoka Tume ya Madini Janet Lekashingo.

Mwenyekiti wa Bodi ya Tume ya Madini Prof. Idriss Kikula (wa pili kulia), akizungumza na Mjiolojia wa Mgodi wa BUCKREEF Jamal Makishe, (kushoto) alipokuwa kwenye Banda la Kampuni hiyo kujionea shughuli wanazofanya katika viwanja vya Bombambili EPZA Mkoani Geita. (wa kwanza kulia) ni, Kamishna wa Madini kutoka Tume ya Madini Janet Lekashingo.

Mwenyekiti wa Bodi ya Tume ya Madini Prof. Idriss Kikula (wa kulia) akitia saini katika kitabu cha wageni mara baada ya kumaliza ziara yake fupi Bandani hapo.

Mwenyekiti wa Bodi ya Tume ya Madini Prof. Idriss Kikula (wa tatu kushoto) akifurahia jambo alipokuwa akiangalia mtambo wa kuchenjua Dhahabu unaomilikiwa na Mgodi wa BUCKREEF.

Mjiolojia wa Mgodi wa BUCKREEF Jamal Makishe, (wa kwanza kushoto) akitoa maelezo namna mtambo wa kuchenjua Dhahabu unavyofanya kazi.

Previous articleMAGAZETI YA LEO IJUMAA OKTOBA 7’2022
Next articleKITUO CHA KUTIBU MAGONJWA YA MILIPUKO KUJENGWA KAGERA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here