Home LOCAL SPIKA DKT. TULIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA KATIBU MKUU WA UMOJA...

SPIKA DKT. TULIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA KATIBU MKUU WA UMOJA WA MABUNGE DUNIANI, SPIKA WA BUNGE LA ZAMBIA

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akisalimiana na Katibu Mkuu wa umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Martin Chungong wakati wa Mkutano wa 65 wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola – (CPA) unaofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Halifax, Nova Scotia Nchini Canada

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akizungumza jambo na Katibu Mkuu wa umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Martin Chungong wakati wa Mkutano wa 65 wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola – (CPA) unaofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Halifax, Nova Scotia Nchini Canada

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akisalimiana na Spika wa Bunge la Zambia, Mhe. Nally Mutti wakati wa Mkutano wa 65 wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola – (CPA) unaofanyika katika Ukumbi wa kituo cha Mikutano cha Kimataifa Halifax, Nova Scotia Nchini Canada leo Agosti 26, 2022

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Previous articleCHAMA CHA WAFAMASIA CHAWAKUTANISHA WAANDISHI WA HABARI
Next articleWFP YAKABIDHI VIFAA VYA MAWASILIANO KWA OFISI YA WAZIRI MKUU.
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here