Home BUSINESS BRELA YAWASILISHA MADA KUELEZEA KURASIMISHAJI WA BIASHARA ZA MTANDAONI

BRELA YAWASILISHA MADA KUELEZEA KURASIMISHAJI WA BIASHARA ZA MTANDAONI

Afisa Usajili kutoka Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), Bi Neema Kitala (katikati), akiwasilisha mada kuhusu huduma zinazotolewa na BRELA na hatua  za urasimishaji wa biashara kwa wajasiriamali wa biashara za mtandaoni, katika warsha ya siku moja iliyofanyika kwenye ukumbi wa Makao Makuu ya Benki ya CRDB Posta, jijini Dar es salaam. Katika warsha hiyo wajasiriamali hao wamepata fursa  ya kujifunza mbinu mbalimbali za kujikwamua ikiwa ni pamoja na urasimishaji wa biashara zao. 

Warsha hiyo iliyoandaliwa na Benki ya CRDB inaenda sambamba na kauli mbiu ya “Instaprenyua Smatsha Biashara” ikiwa na  lengo la kuwahamasisha wajasiriamali kurasimisha biashara zao ili kukidhi soko la ushindani.

Previous articleSERIKALI IMEJIPANGA KUENDELEZA MIRADI MBALIMBALI KATIKA SEKTA YA MADINI HAPA NCHINI.
Next articleTANZANIA YA TANO AFRIKA KUZALISHA MIONZI DAWA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here