Home LOCAL BALOZI WA MAREKANI NCHINI TANZANIA ATEMBELEA OFISI YA WAZIRI MKUU

BALOZI WA MAREKANI NCHINI TANZANIA ATEMBELEA OFISI YA WAZIRI MKUU

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Marekani nchini, Donald J. Wright alipokutana naye, katika ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Marekani nchini, Donald J. Wright, wakati alipokutana naye, katika ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam.
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiagana na Balozi wa Marekani nchini, Donald J. Wright baada ya kikao kilichofanyika ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam



Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na ujumbe wa Ubalozi Marekani ulioongozwa na Balozi wa nchi hiyo nchini, Donald J. Wright ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam Juni 16, 2022 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 


Previous articleTANZANIA NA SWEDEN ZAAHIDI KUONGEZA MAENEO YA USHIRIKIANO
Next articleWAZIRI MULAMULA AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA FINLAND
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here