Home SPORTS AHMED ALLY MSEMAJI MPYA SIMBA SC

AHMED ALLY MSEMAJI MPYA SIMBA SC


Na: Stella Kessy, DAR ES SALAAM.

UONGOZI   wa Simba umemtangaza Ahmed Ally kuwa Ofisa Habari wa timu hiyo.
Ally anakuja kuchukua mikoba ya Haji Manara ambaye alibwaga manyanga mwaka 2021 na sasa ni Ofisa Habari ndani ya kikosi cha Yanga.
Alipotoka Manara nafasi hiyo alikaimu Ezekiel Kamwaga ambaye kwa sasa yupo nje akisoma.
Ally ni mwandishi pia wa Azam TV ambapo amekuwa akiripoti habari za michezo.
Hongera Ahmed Ally katika majukumu yako mapya na kila la kheri.

Previous articleKUTOKA MEZA YA MAGAZETI ASUBUHI YA LEO J.TATU JANARI 3-2022
Next articleRANI YAIMWAGIA ZAWADI YANGA PRINCES
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here