Home LOCAL UJENZI MJI WA SERIKALI MTUMBA

UJENZI MJI WA SERIKALI MTUMBA

Katibu wa kuratibu Serikali kuhamia Dodoma na ujenzi wa Mji wa Serikali Meshack Bandawe akiongoza kikao cha Timu ya wataalam wanaosimamia ujenzi wa miundombinu ya kudumu ya Mji wa Serikali inayohusu maji safi na maji taka,umeme, Mawasiliano, usalama, Majengo Marefu ya Wizara awamu ya pili, barabara za lami, Zimamoto na uokoaji, Gesi na upandaji miti na mandhari Itakayojengwa juu na chini ya Ardhi Mtumba Mkoani Dodoma.

(Picha na Projestus Binamungu – Idara ya Habari Maelezo Dodoma.)

Previous articleBOT YAUPIGA MWINGI MAONESHO YA SABASABA.
Next articleBALOZI MULAMULA AAPA KUWA MBUNGE EALA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here