Home LOCAL RAIS DKT. MWINYI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI MDOGO WA JAMHURI YA...

RAIS DKT. MWINYI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI MDOGO WA JAMHURI YA WATU WA CHINA IKULU ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi ya kitabu na Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China anayefanyika Kazi zake Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China anayefanyika Kazi zake Zanzibar Mhe. Zhang Zhisheng, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 19-5-2021, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China anayefanyia kazi zake Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, alipofika kujitambulisha.(Picha na Ikulu)

Previous articleRAIS DK.MWINYI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI WA BENKI YA AFRIKA
Next articleRAIS SAMIA AWAAPISHA WA WAKUU WA MIKOA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here