BUSINESS
Home BUSINESS
FUNGUO YATENGA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 2.5 KWA AJILI YA WAJASIRIAMALI...
:::::::
Na Mwandishi Wetu
Dar es Salaam
Katika hatua kubwa ya kuleta mapinduzi ya
kiuchumi na kuchochea ukuaji wa biashara bunifu nchini, Mradi wa Ubunifu wa
FUNGUO umetangaza fursa...
LADIES OF NEW MILLENNIUM WAUNGA MKONO JITIHADA ZA SERIKALI KUPITIA MIRADI...
Mkoa wa Mwanza —
Taasisi ya Ladies of New Millennium, ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mama Tunu Pinda, imeonesha mfano wa kuigwa kwa taasisi binafsi...
MKUTANO MKUU ARSO WAANZA ZANZIBAR
Na Mwandishi Wetu
ZAZNZIBAR; MKUTANO Mkuu wa 31 wa Shirika la Viwango la Afrika (ARSO) umeanza leo katika Hoteli ya Golden Tulip iliyoko Zanzibar, ukivuta...
WAZIRI MKUU AMWAGIA SIFA MKURUGENZI MKUU STAMICO
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe.Kassim Majaliwa Majaliwa amevutiwa na utendaji na mafanikio iliyopata Shirika la Maendeleo la Taifa (STAMICO) kwa kipindi...
TUME YA UMWAGILIAJI YAZIDI KUPIGA HATUA YAFIKISHA MIRADI 783 NCHINI
Na Hughes Dugilo -IRINGA
TUME ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), imepiga hatua kubwa katika utekelezaji miradi yake nchini, ambapo katika kipindi cha uongozi wa Dkt....
WAFANYABIASHARA MKOANI KILIMANJARO WASISITIZWA KUENDELEA KULIPA KODI KWA MAENDELEO YA TAIFA
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Nurdin Babu ametoa hamasa kwa Wafanyabiashara Mkoani hapo kuendelea kulipa kodi stahiki ili maendeleo ya nchi yazidi kupatikana.
Kauli...