BASATA YAMPA KIBALI MILLEN HAPPINESS MAGESE KUANDAA MASHINDANO YA MISS UNIVERSE

0

Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA)Dk.Kedmon Mapana akizungumza wakati wa kutoa kibali kwa Mwanamitindo wa Kimataifa Millen Happiness Magese (kushoto) kuandaa mashindano ya Miss Universe nchini Tanzania .Kulia ni Miss Universe Tanzania Judith Ngussa. Na Mwandishi Wetu BARAZA la Sanaa la Taifa(BASATA)limetoa baraka na kibali kwa Mwanamitindo wa Kimataifa na Mrembo wa Tanzania Millen Happiness Magese kupitia kampuni...

MAKALLA: DKT SAMIA AMEINUA ZAO LA KAHAWA MKOA WA KAGERA

0

BUKOBA: KATIBU wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi an Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi, CPA Amos Makalla amesema Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa mkombozi kwa kuinua zao la Kahawa mkoani Kagera. Makalla ameeleza hayo leo Mei 18,2025 akizungumza na wananchi katika Wilaya ya Bukoba Mjini mkoani Kagera akiwa katika ziara yake ya kikazi ya siku saba katika mikoa ya Kanda ya...

SERIKALI IPO KAZINI NA INAENDELEA KUFANYAKAZI-MAJALIWA

0

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kwamba Serikali ipo kazini na inaendelea kufanyakazi ya kuwahudumia na kuwatumikia wananchi katika maeneo yote nchini na bila ya ubaguzi wa aina yoyote. Kadhalika, Mheshimiwa Majaliwa ametoa wito kwa wananchi waendelea kushirikiana katika kudumisha amani na utulivu na kwamba wasiwasikilize watu wenye viashiria vya uvunjifu wa amani wanaopita katika maeneo yao. Ameyasema hayo leo (Jumapili,...

MBIO ZA MWENGE 2025 ZAZINDUA MRADI WA NHC WA SH. BILIONI 2.7 MASASI

0

Mwandishi Wetu, Masasi,  MTWARA  Kiongozi wa Mwenge Kitaifa, Ussi amelipongeza Shirika la Nyumba laTaifa (NHC), kwa kazi kubwa ya kutekeleza kwa vitendo ndoto za kuboresha huduma za jamii na wafanyabiashara nchini kupitia sekta ya nyumba, kwa kujenga majengo bora ya kisasa yanayochochea kasi ya maendeleo na uchumi wa taifa. Ametoa pongezi hizo leo Mei 18,2025 mjini Masasi mkoani Mtwara, wakati akiweka...

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAPILI MEI 18_2025.

0

http://HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAPILI MEI 18_2025.

TANZANIA YAPOKEA MSAADA WA SH. BILIONI 185 KUTOKA CHINA

0

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) kwa niaba ya Serikali ya Tanzania na Balozi wa China nchini Tanzania, Mhe. Che Mingjian, wakitia saini Mikataba miwili ya msaada wa jumla ya Yuan za China milioni 500, sawa na shilingi bilioni 185 kwa ajili ya mradi wa upanuzi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete kuwa Kituo cha...