HOSPITALI ZA BENJAMIN MKAPA, MLOGANZILA KUENDELEA KUTUMIKA KAMA VITUO VYA MAFUNZO UDOM NA MUHAS
Na, WAF-Dodoma Serikali imesema Hospitali ya Benjamin Mkapa na Hospitali ya Mloganzila zitaendelea kuwa chini ya usimamizi wa Wizara ya Afya kwa madhumuni ya kuimarisha utoaji wa huduma za afya kwa wananchi na kuboresha ubora wa huduma sambamba na kutumika kama vituo vya mafunzo kwa wanafunzi wa vyuo vya Vikuu vya Dodoma na Muhimbili. Akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum,...
KERO YA MAJI KIJIJI CHA MLOKA, MBUNJU MVULENI NA NDUNDUTAWA YAPATIWA UFUMBUZI
Na. Mwandishi Wetu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI na Mbunge wa Rufiji Mhe. Mohamed Mchengerwa, ameshuhudia hafla ya utiaji saini mikataba ya ujenzi wa miradi ya Maji itakayojengwa katika Vijiji vitatu vya Mloka, Mbunju Mvuleni pamoja na Ndundutawa ambayo itahudumia Wananchi 16, 593 hali itakayosaidia kupunguza kero ya Maji katika maeneo hayo. Meneja wa Wakala wa Maji na...
MHE- ZAINABU ATEMBELEA BANDA LA TAMISEMI KONGAMANO LA KIMATAIFA NA MAONESHO YA ELIMU MTANDAO- DAR ES SALAAM.
Naibu Waziri anayeshughuhulikia Elimu Ofisi ya Rais - TAMISEMI Mhe.Zainab Katimba atembelea banda la TAMISEMI kwenye Kongamano la Kimataifa na Maonesho ya Elimu Mtandao Jijini Dar es Salaam. Mheshimiwa Zainab Katimba ametembelea banda la maonesho la Ofisi ya Rais -TAMISEMI kwenye Kongamano la 18 la kimataifa na Maonesho ya Elimu Mtandao, Mafunzo na Maendeleo ya Kukuza Ujuzi yanayoendelea katika Ukumbi...
NHIF SASA KUGHARAMIA MATIBABU YA AFYA YA AKILI, KUFUATA MWONGOZO
Na WAF, DODOMA Serikali imesema huduma za afya ya akili zimeshajumuishwa kwenye vifurushi vya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), na hivyo wananchi wanaonufaika na bima wanaweza kupata matibabu hayo kwa mujibu wa mwongozo wa matibabu uliopo. Akijibu swali la Mbunge wa Iringa Mjini, Mhe. Jesca Msambatavangu, Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa, huduma za afya...
RHMT NA CHMT SIKILIZENI KERO NA MAONI KUTOKA KWA WANANCHI – DKT. MFAUME.
OR-TAMISEMI Mkurugenzi wa Idara ya Afya Lishe na Ustawi wa Jamii Ofisi ya Rais TAMISEMI Dkt. Rashid Mfaume amezielekeza timu za usimamizi wa afya ngazi ya Mkoa (RHMT) na ngazi ya Halmashauri (CHMT) kusikiliza kero na maoni kutoka kwa Wananchi pindi wanapotembelea kwenye vituo vya kutolea huduma za afya kwaajili ya ziara za kikazi na ukaguzi. Dkt. Mfaume amesema hayo...
MHE- CHATANDA AMPONGEZA RAIS SAMIA KWA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI.
Na Mwandishi Wetu.. Mwenyekiti wa UWT- CCM Taifa, Mhe. Mary Pius Chatanda amekagua miradi mbalimbali ya maendeleo yenye thamani ya zaidi ya bilioni 25 inayotekelezwa wilayani Rufiji na kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fedha kwa ajili ya kutekeleza miradi hiyo. Mbali na kumpongeza Mhe. Rais Samia, pia amempongeza Mbunge wa Rufiji kwa kusimamia utekelezaji wake ambapo amesema miradi hiyo...