THBUB YAMPONGEZA MHE. RAIS SAMIA KWA KUTOA MSAMAHA KWA WAFUNGWA 5000.
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na utawala Bora (THBUB) Jaji Mstaafu Mathew Mwaimu akizzungumza na waandishi wa habari Na: Hughes Dugilo.Tume ya Haki za Binaadamu na utawala Bora (THBUB) imempongeza Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kufuatia msamaha alioutoa kwa wafungwa 5'001 waliokuwa wakikabiliwa na vifungo mbalimbali.Katika taarifa yake iliyotolewa Mei 8,2021...
YANGA YAWEKA MSIMO KUSOGEZWA MUDA WA MCHEZO WAO NA SIMBA.
DAR ES SALAAM.Klabu ya SC imesema haitambui Mabadiliko ya muda wa mchezo wao na Watani wao wa Jadi Simba unaochezwa leo kutoka saa 11 Jioni hii hadi saa moja usiku, anaripoti Mwandishi Diramakini. Taarifa fupi ya Yanga kwa Vyombo vya habari imesema wao watapeleka timu kama ratiba inavyosema saa kumi na moja na kulitaka Shirikisho la soka la TFF, liheshimu...
JAMII YAKUMBUSHWA UMUHIMU WA KUWA NA BIMA KATIKA NYANJA MBALIMBALI.
Afisa Mtendaji mkuu wa Sanlam Life insurance limeted & Sanlam general insurance, wa katikati Bwana Julius Magabe akiongea na waandishi wa habari.Na Richard MrushaWito umetolewa kwa jamii kujiunga na huduma za Bima mbalimbali kwani zinaumuhimu mkubwa Sana kwa mustakabali wa Maisha yao ya kila siku.Wito huo umetolewa na Afisa Mtendaji mkuu wa Sanlam Life Insurance Tanzania Limited & Sanlam...
WACHIMBAJI WADOGO WANAMCHANGO MKUBWA WA KUKUZA UCHUMI WA TANZANIA.
Na:Simon Mghendi, KahamaWaziri wa Madini Doto Biteko amesema kuwa wachimbaji wadogo wa madini nchini wamekua na mchango mkubwa katika kukuza uchumi wa taifa.Biteko ameyasema hayo Wakati akikabizi leseni za uchimbaji wa madini kwa wachimbaji wadogo katika mgodi wa Mwabomba uliopo halmashauri ya Ushetu Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga.Pia biteko alitumia fursa hiyo kuwaasa wachimbaji wadogo nchini kuacha majungu na kuoneana wivu...
KATIBU MKUU MIGIRE AWAASA WADAU WA USAFIRISHAJI MAJINI
Katibu mkuu wizara ya Ujenzi na uchukuzi Gabriel Migire akizungumza na waandishi wa habari kwenye Kakao kaziMkurugenzi wa TASAC, Bwana Kaim Mkeyenge akizungumza na waandishi wa habari.Na: Richard Mrusha.Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Gabriel Migire amewataka shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) kuhakikisha shughuli zao wanazifanya kwa uwazi kwa kuwashirikisha wadau ili kuepusha malalamiko yanayotokea.Agizo hilo...