PROF. MAKUBI AHIMIZA UFANISI UPIMAJI COVID 19 UWANJA WA NDEGE WA JULIUS NYERERE
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Prof. Abel Makubi akizungumza na watumishi wa wizara hiyo ambao ni maafisa afya wanaohudumu katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere pamoja na wadau wanaotoa huduma za kifedha kwa abiria wanaofanya malipo ya kipimo cha Covid 19 wanapowasili nchini, ili kujua changamoto zinazojitokeza katika utoaji wa huduma hizo na maboresho...
KADINDA ANG’ARA TUZO ZA HARUSI.
DAR ES SALAAM.MBUNIFU nguli wa mavazi nchin, Martin Kadinda ameibuka kinara wa tuzo za Harusi msimu wa kwanza kwa upande wa mavazi ya kiume. Tuzo za Harusi kwa mara ya kwanza zimefanyika juzi katika hoteli ya Serena zilihusisha watoa huduma mbalimbali katika sekta ya harusi.Akizungumza na wandishi wa habari Kadinda amesema amefurahishwa na ushindi huo na kuwapongeza waandaaji wa tuzo...
HABARI KUU ZILIZOTAWALA MAGAZETI YA LEO J.TATU MEI 17-2021.
Karibu msomaji wetu kwenye meza ya Magazeti ya leo uweze kujisomea habari kemkem za ndani na Nje ya Nchi yetu, Karibu sana.
KANISA LA BCC TAG NYANTILA LAANDAA ‘NYAMA CHOMA DAY’ KWA VIJANA.
Mchungaji wa Kanisa la BCC TAG lililopo Nyantila Jijini Dar es Salaam Eliya Mwangosi akiongoza Ibada maalum ya vijana mbalimbali wakati wa Sherehe ya kuchoma nyama (NYAMA CHOMA DAY) iliyofanyika kanisani hapo sambamba na mafunzo mbalimbali ya kujitambua. Kundi la tatu lilikuwa la vijana wa kiume kwanzia chuo na kuendelea amabao hawajaowa walifundishwa na na Mchungaji...