TIMU YA YANGA YALAZIMISHWA SARE YA 0-0 NA NAMUNGO FC RUANGWA.

0

Na: Mwandishi wetu, LINDI.Timu ya Yanga  ya Jijini Dar es Salaam imetoka Suluhu ya 0-0 na Timu ya Namungo FC iliyokuwa mwenyeji wa Mchezo huo uliopigwa Katika Dimba la Kassim Majaliwa Mjini Luangwa Mkoani Lindi.Katika mchezo huo timu zote zilionyesha uwezo mkubwa wa kumiliki mpira huku timu ya Yanga ikikosa nafasi kadhaa za kuweza kufumania nyavu za Namungo lakini...

MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO ALIVYOHITIMISHA KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA BUHIGWE

0

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akihutubia Mkutano wa ufungaji  Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM Jimbo la Buhigwe kwa ajili ya Uchaguzi Mdogo wa kiti cha Ubunge unaotarajiwa kufanyika kesho tarehe 16 Mei 2021, kutokana...

KONGAMANO LA URITHI WA UKOMBOZI BARA LA AFRIKA KUFANYIKA TANZANIA

0

Na: Mwandishi WHUSM, DAR ES SALAAM.Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo inatarajia kufanya kongamano la siku tatu la ukombozi wa Bara la Afrika kuanzia Mei 21 mpaka Mei 23 katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.Akizungumza na waandishi wa habari Mratibu wa kongamano hilo Bwana Boniface Kadili amesema kuwa kongamano hilo la siku tatu...

WALIMU 1,333 MANISPAA YA KINONDONI KUPANDISHWA MADARAJA.

0

Mkurugenzi wa Ajira, Maadili na Maendeleo ya Walimu kutoka TSC Makao Makuu, Christina Hape akikagua baadhi ya majalada kwa lengo la kujiridhisha juu ya uzingatiaji wa taratibu katika zoezi la kupandisha vyeo walimu wa Manispaa ya Kinondoni.Kaimu Katibu Msaidizi wa TSC Wilaya ya Kinondoni, Theobald Kilindo akiwasilisha taarifa ya hatua ya utekelezaji wa zoezi la kuwapandisha vyeo walimu kwa...

NEC YAZUNGUMZIA UCHAGUZI MDOGO MAJIMBO YA BUHIGWE NA BUHAMBWE KIGOMA.

0

Na: Bashiru Nkoroma, Blogu ya CCM.Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema vyama vya Siasa vinavyoshiriki Uchaguzi Mdogo katika majimbo ya Muhambwe na Buhigwe mkoani Kigoma vina wajibu wa kuweka mawakala kwenye vituo vya kupigia na kujumlisha kura, lakini mawakala hao na wasimamizi wa uchaguzi wanapaswa kuzingatia Sheria za Uchaguzi wakati wote.Uchaguzi huo wa kesho pia utafanyika katika Kata...