RAIS DK.MWINYI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI WA BENKI YA AFRIKA
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Bank Of Africa ukiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Afrika Dr.Nyamajeje Calleb (kulia kwa Rais) akiwa na Ujumbe wake Ndg.Wasira Mushi na Samira Yassine, walipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yaliofanyika...
MAMA MGHWIRA-KULIKUWA NA UZEMBE KCMC,KIFO CHA MAMA WA HOYCE TEMU
Mkuu wa Mkoa mstaafu wa Kilimanjaro, Mama Anna Mghwira akisalimia familia ya marehemu wakati wa ibada ya mazishi ya mama mzazi wa mtangazaji wa kipindi cha Tanzania Yetu, Bi. Hoyce Temu iliyofanyika mwishoni mwa wiki nyumbani kwa marehemu Sion Temu iliyopo Mnazi Mmoja, mkoani Kilimanjaro.Mkuu wa Mkoa mstaafu wa Kilimanjaro, Mama Anna Mghwira akizungumza...
NCHI ZILIZOENDELEA ZAOMBWA KUZISAIDIA NCHI ZINAZOENDELEA KUHIMILI MABADILIKO YA TABIANCHI
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Hamad Hassan Chande akizungumza wakati akizindua Maonesho ya Mabadiliko ya Tabianchi Mei 18, 2021 katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Saalam yaliyoandaliwa na EU kwa kushirikiana na Tanzania. Kushoto ni Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini Mhe. Manifredo Fanti.Balozi...
MAGAZETI YA LEO J.TANO MEI 19-2021
Karibu msomaji wetu kwenye meza ya Magazeti ya leo uweze kujisomea habari kemkem za ndani na Nje ya Nchi yetu, Karibu sana.
SHULE YA BILIONEA LAIZER YAKABILIWA NA UHABA WA WALIMU.
Mwalimu mkuu wa shule ya kingereza ya Saniniu Lizer Swedefrida MsomaHawa ni baadhi ya wanafunzi wa shule hiyoNa:Richard Mrusha, MANYARA.Bilionea Saniniu Lizer amewomba wadau wa sekta ya Madini Mkoa wa manyara kumuunga mkono katika jitahada za kuendeleza Ujenzi wa shule ya kingereza ya Saniniu Lizer iliyopo wiliya ya simanjiro kata ya Naisinyai Kijiji Cha Naepo.Lizer amesema kuwa wachimbaji wadogo...
MWAKANG’ATA ALILIA UWANJA WA NDEGE SUMBAWANGA MJINI ATAKA SERIKALI ICHUKUE HATUA
Na: Khalfan Akida, DODOMASerikali imeshauriwa kuuntengeneza upya uwanja wa ndege wa Sumbawanga Mjini kwa viwango bora ili kufungua milango kwa wawekezaji wanaotaka kuwekeza katika mkoa wa Rukwa.Hayo yamesemwa na mbunge wa viti maalum mkoa wa Rukwa, Mhe. Bupe Mwakang'ata wakati akichangia hotuba ya bajeti wizara ya Ujenzi na uchukuzi leo bungeni jijini Dodoma.“tunashukuru serikali iliwalipa wakazi waliopo karibu na...