MAASKOFU WA KANISA ANGLIKANA TANZANIA WATEMBELEA KABURI LA HAYATI MAGUFULI NA KUFANYA IBADA CHATO.
Na: Maiko Luoga GEITA.Maaskofu wa Kanisa Anglikana mei 19 mwaka huu wakiongozwa na Mhashamu Askofu Mkuu wa Kanisa Anglikana Tanzania na Dayosisi ya Tanga Maimbo Mndolwa, wamefika Wilayani Chato mkoani Geita na kutembelea kaburi la aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt, John Pombe Magufuli.Akizungumza mara baada ya kuwasili mahali alipozikwa hayati Magufuli Wilayani Chato na...
HOSPITALI ZIMETAKIWA KUWAHUDUMIA WAZEE IPASAVYO.
Na: WAMJW-Dsm.Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Afya)Prof. Abel Makubi ameziagiza Hospitali zote za Rufaa nchini kuhakikisha wazee wote wanaoenda katika Hospitali hizo kutibiwa , wanapatiwa huduma bora kuanzia anapowasili hospitalini hapo, kwenye Vipimo hadi kwenye kupatiwa dawa, kwani jambo hilo linafahamika na kisera.Prof. Makubi ametoa agizo hilo wakati wa ziara yake katika...
MAJALIWA ATAKA HATUA ZAIDI ZICHUKULIWE KWA WANAOHUSIKA NA MFUMO WA LUKU.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amemuagiza Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani asiishie kuwasimamisha kwa siku kumi tu meneja wa TEHAMA na wasaidizi wake, bali wakae pembeni hadi hapo uchunguzi zaidi utakapokamilika. Ametoa agizo hilo leo Mei 20, 2021 alipozungumza na Menejementi na Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kwenye makao makuu ya zamani Shirika hilo jijini Dar...
KARIBU USOME HABARI MAGAZETI YA LEO ALHAMISI MEI 20-2021
Karibu msomaji wetu kwenye meza ya Magazeti ya leo uweze kujisomea habari kemkem za ndani na Nje ya Nchi yetu, Karibu sana.
MAKABIDHIANO YA OFISI KATI YA RC KUNENGE NA RC MAKALA YAFANYIKA.
DAR ES SALAAM.Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam ambae kwa Sasa ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Abubakar Kunenge leo May 19 amekabidhi ofisi kwa Mkuu Mpya wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makala ambapo amewashukuru Watumishi wote wa Mkoa huo kwa ushirikiano mkubwa waliompatia wakati wa uongozi wake.RC Kunenge amemshukuru Rais wa Jamhuri...