MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AKUTANA NA KATIBU MKUU NA NAIBU KATIBU MKUU WA OFISI YAKE
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, katikati akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bibi Mary Maganga kulia na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Mohammed Khamis Abdalla, alipokutana nao Ofisini kwake Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo Juni...
RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKAGUA UJENZI WA BARABARA YA MWENDOKASI YA MBAGALA.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Kwa Azizi Ali mara baada ya kufanya ziara ya kushtukiza kukagua mradi wa ujenzi wa Barabara ya Mabasi ya Mwendokasi katika barabara ya Kilwa. Wananchi wa Mtongani na Kwa Azizi Ali wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe....
WATANZANIA MSINUNUE BIDHAA BILA KUHAKIKI ALAMA YA UBORA YA TBS: DKT. NGENYA
MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Dkt Yusuph Ngenya akizungumza na waandishi wa habariNA: OSCAR ASSENGA, TANGA.MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Dkt Yusuph Ngenya ametoa wito kwa watanzania wasinunue bidhaa yoyote bila kuhakikisha kwamba ina alama ya ubora kwa bidhaa zinazozalishwa nchini.Ngenya aliyasema hayo eneo la Mwahako Jijini Tanga kunakoendelea maonesho ya nane ya Biashara ambapo alisema...
MAJALIWA: TUMIENI NISHATI MBADALA
DODOMA.WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameziagiza Wizara, Taasisi, Mashirika yote ya Serikali na Sekta Binafsi pamoja na vikundi vya uzalishaji zinazotumia nishati ya kuni na mkaa zianze kutumia nishati mbadala kwa kupikia na shughuli nyingine za uzalishaji. Ametoa wito huo leo (Jumanne Juni Mosi, 2021) wakati akitoa tamko kuhusu Wiki ya Mazingira Duniani, katika ukumbi wa Hazina, jijini Dodoma. Amesema kuwa taasisi...
DC JOKATE MWEGELO : WAZAZI WA KISARAWE WASIMAMIENI WATOTO KUPATA ELIMU
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Joketi Mwegelo akisisitiza jambo mbele ya wananchi wakati wa tukio hilo la kukabidhiwa madarasa manne, matundu ya vyoo na ofisi mbili za walimu.Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Joketi Mwegelo(wa pili kushoto) akiisoma hotuba yake kabla ya kuitoa kwa wananchi wakati wa tukio hilo la kukabidhiwa madarasa manne, matundu ya vyoo na ofisi mbili za...
BALOZI WA CHINA AIAGA CCM, ASEMA TANZANIA CHINI YA RAIS SAMIA ITAENDELEA KUPIGA HATUA
Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongo akimpatia zawadi ya Kitenge cha CCM Bablozi wa China Wang Ke baada ya Mazungumzo.Katibu Mkuu wa CCM Chongolo akimuonyesha Wang Ke picha za viongozi wastaafu wa CCM. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Christina Mndeme.Balozi Wang Ke alipokuwa kwenye mazungumzoKatibu Mkuu wa CCM Chongo akiwa kwenye mazungumzo hayo. Pamoja naye ni...