Home LOCAL MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AKUTANA NA KATIBU MKUU NA NAIBU KATIBU...

MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AKUTANA NA KATIBU MKUU NA NAIBU KATIBU MKUU WA OFISI YAKE

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, katikati akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais  Bibi Mary Maganga  kulia na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Mohammed Khamis Abdalla, alipokutana nao Ofisini kwake Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo Juni 01,2021.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Mohammed Khamis Abdalla wakati Bw. Abdalla  alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo Juni 01,2021.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akisalimiana na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bibi Mary Maganga wakati Bibi Maganga alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo Juni 01,2021.

    (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)


Previous articleRAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKAGUA UJENZI WA BARABARA YA MWENDOKASI YA MBAGALA.
Next articleMKUU WA MKOA MARA AFUNGUA MAADHIMISHO YA JUMA LA ELIMU KITAIFA, APONGEZA MCHANGO WA WADAU WA ELIMU

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here