Home LOCAL RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKAGUA UJENZI WA BARABARA YA MWENDOKASI YA...

RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKAGUA UJENZI WA BARABARA YA MWENDOKASI YA MBAGALA.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Kwa Azizi Ali mara baada ya kufanya ziara ya kushtukiza kukagua mradi wa ujenzi wa Barabara ya Mabasi ya Mwendokasi katika barabara ya Kilwa.
Wananchi wa Mtongani na Kwa Azizi Ali wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipowasalimia wakati akikagua ujenzi wa Barabara ya Mabasi yaendayo haraka (BRT) Awamu ya Pili (Mwendokasi) katika barabara ya Kilwa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Mbagala mkoani Dar es Salaam wakati alipofanya ziara ya kushtukiza kukagua maendeleo ya Ujenzi wa Barabara ya Mabasi ya Mwendokasi katika barabara ya Kilwa.
Wananchi wa Mbagala wakishangilia wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipokuwa akizungumza nao wakati alipofanya ziara ya kushtukiza kukagua maendeleo ya Ujenzi wa Barabara ya Mabasi ya Mwendokasi katika barabara ya Kilwa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipewa maelezo kuhusu mradi wa Soko la Kisutu mara baada ya kufanya ziara ya kushtukiza Sokoni hapo. PICHA NA IKULU

Previous articleWATANZANIA MSINUNUE BIDHAA BILA KUHAKIKI ALAMA YA UBORA YA TBS: DKT. NGENYA
Next articleMAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AKUTANA NA KATIBU MKUU NA NAIBU KATIBU MKUU WA OFISI YAKE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here