RAIS SAMIA AWAAPISHA MAKATIBU TAWALA WA MIKOA IKULU CHAMWINO DODOMA

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Makatibu Tawala wa Mikoa baada ya kuuwaapisha Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo Juni 02,2021.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa wakiwa katika...

TMDA YAKUTANA NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI JIJINI ARUSHA

0

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Bw. Adam Fimbo akizungumza kwenye ufunguzi wa Kikao Kazi cha Wahariri wa Vyombo vya habari na waandishi wa habari wa mikoa ya Kilimanjaro,Manyara na Arusha kinachofanyika kwenye ukumbi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) jijini Arusha leo Jumatano Juni 2,2021. Vones Uiso Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa...

WAZALISHAJI WA CHAKULA WAMETAKIWA KUZINGATIA USALAMA WA CHAKULA KATIKA UTAYARISHAJI.

0

Afisa Usalama wa Chakula Mwandamizi wa TBS, Bi.Imakulata Justin akizungumza na waandishi wa habari leo kuelekea Siku ya Chakula Salama Duniani, katika ofisi za Makao Makuu ya TBS Jijini Dar es Salaam kuelekea Siku ya Chakula Salama Duniani ambayo hufanyika June 7 kila mwaka. Afisa Usalama wa Chakula Daraja la kwanza TBS, Bw.Kaiza Kilango...

ZIARA YA MHE DKT, DUGANGE JIMBONI WANGING’OMBE MEI 21 HADI 23, 2021 BILIONI MOJA NA MILIONI 500 ZAUNGA MKONO MIRADI YA MAENDELEO

0

Na Maiko Luoga NjombeMbunge wa Jimbo la wanging'ombe Mkoani Njombe na Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Dkt, Festo Dugange amefanya ziara  ya siku tatu Jimboni humo kuanzia mei 21 hadi 23 mwaka huu kwa lengo la kuhamasisha, kukagua na kuunga mkono miradi ya maendeleo wilayani Wanging'ombe.Akiwa kwenye ziara hiyo Mhe, Dugange alibaini uwepo wa changamoto ya ukosefu wa...

KUTOKA MEZA YA MAGAZETI ASUBUHI YA LEO J.TANO JUNI 2-2021

0

 Karibu msomaji wetu kwenye meza ya Magazeti ya leo uweze kujisomea habari kemkem za ndani na Nje ya Nchi yetu, Karibu sana.

NEEC YAWAITA WADAU KUJADILI NAMNA WANANCHI KUSHIRIKI MIRADI YA MAENDELEO.

0

DAR ES SALAAM.Katibu Mtendaji wa Baraza la uwezeshaji Wananchi kiuchumi (NEEC) Beng'i Issa leo Juni 1 amezindua washa ya wadau kujadiliana na kupitia rasimu ya mkakati wa utekelezaji wa ushiriki wa wanachi katika miradi ya kimkakati katika Sekta mbalimbali Nchini.Akizungumza na wadau mbalimbali walioshiriki washa hiyo katika Ukumbi wa Mount Meru uliopo Benki Kuu, Dar es Salaam ambapo Mgeni...