Home LOCAL RAIS SAMIA AWAAPISHA MAKATIBU TAWALA WA MIKOA IKULU CHAMWINO DODOMA

RAIS SAMIA AWAAPISHA MAKATIBU TAWALA WA MIKOA IKULU CHAMWINO DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Makatibu Tawala wa Mikoa baada ya kuuwaapisha Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo Juni 02,2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa wakiwa katika Picha ya pamoja na Wakuu wa Mkoa na Makatibu Tawala wa Mikoa baada ya kumalizika kwa Hafla ya kuapishwa kwa Makatibu Tawala wa Mikoa Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo Juni 02,2021.

 

Previous articleTMDA YAKUTANA NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI JIJINI ARUSHA
Next articleWANANCHI KATA YA MILO WAOMBA ELIMU YA UWATIKAJI.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here